My fearless padlet by David John

ANDALIO LA SOMO LA DAKIKA 20 KWA DARASA LA WANAFUNZI 80 KUHUSU ALAMA ZA BARABARA.
Lengo kuu;Mwanafunzi aweze kufahamu alama za barabara na matumizi yake.

Lengo Mahususi:Kila Mwanafunzi awe na uwezo wa kutambua alama za barabara na matumizi yake kwa usahihi ili kuwa na safari njema.

UTANGULIZI WA SOMO

Nitaanza somo kwa kuwapa nafasi wanafunzi watazame video inayoonesha alama za barabarani na matumizi yake kwa muda wa dakika 5.

SEHEMU KUU YA SOMO

Nitatoa ufafanuzi maana rahisi ya alama za barabara,na kutaja aina mbalimbali ya alama za barabara kwa muda wa dakika 5.

.Nitatoa misamiati kadhaa itokanayo na somo kwa mfano,alama za barabara,simama,pita kushoto,pita kulia,njiapanda alama ya pundamilia na maana zake katika matumizi kwa muda wa dakika 5.

KUKAMILISHA SOMO.

Nitawapa kazi wanafunzi wachore alama za barabara Tano.

Nitawauliza walichotazama kwenye video ya alama za barabara mwanzoni mwa somo lenyewe.

CHANGAMOTO YA SOMO HILI.

Alama za barabara hutofautiana kutoka nchi moja na nchi nyingine mfano nchi za SADEC alama za barabara zinazotumika kwa nchi hizo hutofautiana na zile za kutoka nchi za Maziwa Makuu

Shule mbalimbali zimejengwa mbali na barabara kuu zenye hizo alama za barabarani.

Na madarasa hujaa wanafunzi wengi jambo ambalo hufanya ufundishaji kuwa mgumu.

Kuwepo shule za UFUNDI (Vocational training)kama vile VETA zinasaidia wanafunzi wengi kutambua na kuzitumia alama za barabara kwa usahihi.