WORKSHOP - EXTRACTS by Samuel Cleland

AMANI
WEMA HAOZI –  Extract A1

Siku babu aliponialezea ukweli kuhusu maisha yangu, nilijihisi vibaya, nikajikuta najenga hasira moyoni, …sijui kwanini, ….kwanza hata babu alipomaliza kunismulia, mwanzoni nilihisi ni moja ya zile hadithi zake anazopenda kunismulia, lakini…..

‘Hiyo sio hadithi, huo ni ukweli kuhusu maisha yako….’akasema babu.

‘Kwakweli, sikuamini, hadi pale nilipoamua kwenda kwa mama na kumuomba aniambie ukweli ulivyokuwa, na kama nilivyotazamia,…. mama hakutaka kuniambia ukweli, kwani baada ya kumuomba afanye hivyo, alijifanya ana kazi nyingi, akawa anaendelea kufagia wakati alishamaliza kufagia....

‘Mama mimi siwezi kuamini kile alichonisimulia babu,… nataka ukweli kutoka kwako, je hayo aliyoniambia babu ni kweli, au ananivunga na hadithi na visa vyake, na kunifanya nihisi kuwa ni ukweli wa maisha yangu…mimi ni kweli hayo babu aliyonisimuliai?’ nikamuuliza mama.

‘Sijui kakusimulia kitu gani….., lakini vyovyote alivyokusimulia….., kama ni kuhusu maisha yangu, hayo hayakuhusu kabisa…na wala usinichanganye…., wewe bado mtoto mdogo unahitajika kusoma na sio kukimbilia kujua maisha yangu au ya babu au bibi yako, …au…mare-he-..oh, ‘hapo akatulia, na baadaye akasema kabla sijasema kitu;

‘Kwanza ni kwanini babu yako akusimulie mambo yasiyokuhusu….?’mama akanigeukia na kuniangalia huku macho yakiwa yameshatanda ukungu wa machozi.

‘Maisha yako yanayofungamana na babu…kama ni hivyo yananihusu, maana kwa maelezo ya babu wewe ulikuja kuishi naye, wakati nazaliwa, na kumbe…..oh, mama naomba unieleze ukweli, ni kweli hayo babu aliyoniambia…?’ nikasema kwa hasira nikiwa na mimi nimemkazia mama macho, kitu ambacho hakikuwahi kutokea kabla katika kuishi kwangu na mama.

Kwa ujumla mimi mama yangu nampenda sana, na sikutazamia kuwa kunaweza kukatokea jambo ambalo lingeliweza nimuone mama vinginevyo…, na mama alijua hayo, na ilionekana wazi kuwa hata yeye hakupenda kuniumiza kwa lolote lile kwani alinipenda sana,…na huenda ndio maana alikuwa akinificha ukweli wote kuhusu maisha yangu.

‘Mwanangu sikiliza, hayo unayohitajia nikuelezee, hayakufai kwasasa, sio kwamba sitaki kukuelezea, lakini kwanini nikuumize moyo wako mwanangu, wakati huu unahitajika kutuliza kichwa chako kwa ajili ya masomo yako…elimu yako ni muhimu kuliko hayo unayotaka kuyafahamu….na hayo hayatakusaidia kitu zaidi ni kukusononesha moyo wako…’akasema mama.

Subiri ni Sali - Extract B2

Hapo zamani za kale alikuwepo mfanyabiashara ambaye aliheshimika kama mfalme wa mji. Alikuwa na wafanyakazi wa kila aina. Siku moja alipokuwa akijiandaa kwenda nchi za ng’ambo kwa ajili ya shughuli za biashara aliwaita watoto wake saba na kuwaambia; „wanangu mimi ninasafiri nakwenda katika shughuli za kibiashara, lakini ninachotaka kwenu ninyi ni kuwa na tabia nzuri ambayo haitawaudhi watu wengine, muwe na heshima na kupendana.” Hivyo kila mmoja alimpa kioo cha kujionea ambapo atakayekwenda kinyume na mambo aliyoyasema baba yao kioo chake kitafifia na hakitaonesha kitu. Hapo mfanyabiashara yule alifunga safari na kuwaacha watoto wake pamoja na mama yao. Kawaida mfanyabiashara huyo anaposafiri huondoka na wafanyakazi wengine pamoja na makuhani yaani waganga wa kienyeji. Lakini wale watoto walisahau, na wakaanza kwenda kinyume na mambo waliyoambiwa na baba yao kulikuwepo na watoto sita watundu na hawasikii wanayokatazwa na wakubwa zao, isipokuwa mdogo wao wa mwisho tu ndiye ambaye alikuwa mtiifu na alisikiliza na kufuata yale waliyoambiwa na baba yao. Kadiri siku zilivyoenda wale watoto wengine walizidi kuwa wakorofi na hatimae vioo vyao vilianza kufifia na vikawa havitoi taswira yoyote isipokuwa kile kioo cha mtoto wa mwisho ambaye yeye alikuwa mtiifu.

Baada ya muda kupita ililetwa taarifa kuwa baba yao anategemea kurudi. Walipopata taarifa zile watoto sita waliokuwa wakorofi waliingia hofu kwani waliambiwa atakaporudi baba yao atakaeonekana na kioo kilichofififa atakatwa kichwa. Hivyo walivyosikia habari za kurudi kwa baba yao waliogopa sana na wakawa wanamuonea kijicho mdogo wao, walimtenga, wakawa hawampendi na walimchukia sana. Oh, siku ya kurudi kwa mfanyabiashara huyo iliwadia, na kama kawaida anaporudi hupigiwa mizinga kwa kumpa heshima na baada ya kupokea heshima hiyo alielekea kwenye vyumba vya watoto wake kuangalia vioo.

Hapo watoto wake sita walikuwa wanaogopa sana na mwisho walipanga mpango wa kukichukua kioo cha mdogo wao. Mipango yao ilifanikiwa kwa kukibadilisha na kumuekea kioo kilichoharibika.

KURWA
WEMA HAUOZI - Extract A2

‘Mama kiukweli , kuanzia leo, kama usiponiambia huo ukweli wa maisha yangu, ulivyokuwa, hadi mimi nikawa sina baba…sina ndugu, tunaishi kwa watu baki, ….akili yangu itakuwa haizingatii masomo tena….’nikasema na mama akaniangalia kwa macho ya kusikitika, lakini nilikuwa nimezamiria hivyo, kuwa nijue chimbuko la maisha yangu.

‘Mama,…sawa umeniambia baba yangu alifariki au sio, hayo ni mapenzi ya mungu,…siwezi kupingana na hilo, lakini siku zote hutaki kuniambai baba yangu alifariki vipi…inaonekana kuna kitu kimejificha kwenye kifo chake….’nikatulia nikimwangalia mama , ambaye alibakia kuniangalia kwa macho ya huzuni.

‘Haya kuna hayo kanisimulia babu, ambayo..oh, yanasikitisha, kuhusu bibi, hayo yana ukweli gani,….hebu niambie ni kweli hayo yalitokea…?’ nikamuuliza mama.

‘Kama nilivyokuambia awali, mimi siwezi kuota nikafahamu hayo uliyoongea na babu yako, na sijui kwanini aliamua kukuambia hayo…ambayo siwezi kujua ni mambo gani hasa kuhusu mimi,au huyo bibi….hebu niambie babu yako kakuambia kitu gani?’ akauliza mama.

‘Tuanzie na hapo…kwanza kwanini unasema ‘huyo bibi….’, ni kweli babu sio babu yangu wa kuwazaa wazazi wako,…..ni kweli kuwa huyu babu ni babu wa kunilea tu?’ nikamuuliza.

‘Jamani hayo yote yanakuhusu nini, babu ni babu tu, awe asiwe babu wa kumzaa mama au baba yako, yote ni sawa, yeye ni babu yako, kwanini unamsema huyo babu kwani kakusimanga …..?’ akauliza mama.

‘Hajanisamanga lolote,..babu wa watu, siku zote ananipenda sana, na ndio maana hapendi kunificha ukweli wa jambo lolote, na toka jana amekuwa akinisimulia kisa ambacho nimeshangaa kuwa kumbe ni ukweli wa maisha yangu, jinsi yalipoanzia kwa mikosi,…kwa ujumla nampenda sana babu yangu, na sipendi kusikia watu wakisema kuwa huyo sio babu yangu, ila mimi nakushangaa wewe mama yangu ambaye hutaki kuniambi ukweli…kila jambo unanificha, hata lile ninalostahili kulifahamu…kwanini mama….?.’nikasema na kuamaliza kwa kuuliza.

SUBIRI NI SALI – Extract B1

Mara baba yao alianza kuvikagua vioo kwa kupitia katika kila chumba. Alianza chumba cha mtoto wake wa kwanza na alipokiona kioo alifurahi sana na kumpongeza kwa tabia nzuri aliyo nayo. Alipokua akitoka walikirudisha kioo na kukiingiza katika chumba chengine alipoingia mfanyabiashara kwa mtoto mwengine naye alipongezwa kama alivyopongezwa yule wa mwanzo. Walifanya tendo la kubadilisha kioo hadi chumba cha mtoto wa sita na mzee alifurahishwa sana kwa jinsi alivyoviona vioo vya watoto wake. Mambo yalibadilika alipoingia chumba cha saba ambacho ndio cha mwisho, kioo kilikuwa kimebanduka sana na mfanyabiashara alikasirika sana. Ndipo alipowaita wafanyakazi na akawaamrisha wamchukue mtoto yule wampeleke msituni wakamchinje na baadae watie damu kwenye kifuu wamleletee kama ni ushahidi.

Wafanyakazi walitii amri ya mkuu wao na wakamchukua mtoto na kwenda naye msituni, lakini walipofika msituni walimuonea huruma kwa kuwa walimuona yule mtoto alikuwa mtiifu sana. Hivyo walitafuta paa na kumchinja na kuchukua damu yake kwenye kifuu ili kumuonesha mfanyabiashara huyo na baadae walimtafutia chakula yule mtoto na kumjengea kibanda cha kujihifadhi. Hapo ndipo wakarudi na kumuonesha mfanyabiashara damu ndani ya kifuu na mfanya biashara aliridhika. Mara alifunga safari nyengine na aliwaita watoto wake na kuwataka kila mmoja aagize zawadi anayoipenda. Kama kawaida alisafiri kwa kutumia meli na meli ile ilipofika katikati ya bahari ilikwama na ikawa haiwezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Na mfanyabiashara aliwaita makuhani ili wapige ramli.

Makuhani walipiga ramli na wakasema: „Wewe una watoto saba, lakini watoto sita umewaambia waagizie zawadi, mtoto mmoja hukumwambia, hivyo unatakiwa urudi ukamuulize ili safari yako iweze kuendelea.” Mfanyabiashara alikasirika sana, lakini ilibidi arudi na akawauliza wafanyakazi kwa nini hawakumuua yule mtoto? Na ndipo akawaambia wafuatane na mkewe wakamuulize nini anataka haraka sana maana anachelewa safari yake. Mama yule alifunga safari pamoja na wafanya kazi mpaka alipofi ka sehemu ambayo mtoto alikuwa anakaa, kwa bahati yule mtoto alikuwa anataka kusali akamwambia „Subiri ni Sali.”

NEEMA
WEMA HAUOZI - Extract A1

YUSUF