Shajara by Vanita Jenkins

sept. 16
Leo, niliamka saa tano asubuhi. Nikaenda ukumbi wa mchezo, na nikafanya zoezi. Halafu, nikaoga, nikavaa nguo, na nikapanda matatu. Nikaenda darasa hii. Halafu, leo ilikuwa siku yangu ya kwanza katika kazi yangu mpya. Nafanya kazi katika Susan Gage. Hii ni sehemu ambayo hufanya upishi. Rafiki yangu ambaye anaitwa Justis tayari kazi huko. Nikavaa suti, na nikawahudumia watu. Nikachoka, na nikahisi maumivu ya miguu. Tukarudi nyumbani, na nikalala kama mtoto.

sept. 15
Leo, sihitaji kuamka mapema kwa sababu hakuna darasa. Niliamka saa sita mchana. Nikakuwa na mkutano kwa Zoom, kuhusu mipango kwa idara ya Waafrika Wamarekani. Halafu, nikaenda kuwakutana marafiki zangu ambao niliwakutana huko Kenya. Majina zao ni Victoria, Tanejah, na Ben. Tukakula chakula cha kiethiopia. Baadaye, tukaenda ice cream. Kwa sababu mimi, Victoria, na Tanejah ni wanafunzi katika chuo kikuu cha Howard, tukamonyesha Ben kote chuo kikuu. Halafu, tukaenda nyumbani yangu, na tukakunywa. Tukaenda mchezo wa football. Ben alihitaji kurudi nyumbani yako, na Tanejah, Victoria, na mimi tukaenda barabara ya U. Tukacheza densi na tukakuwa na furaha. Nikarudi nyumbani, na nikalala.

sept. 26
Leo, niliamka saa moja asubuhi. Nikaoga, nikavaa nguo, na nikapanda matatu. Nikaenda madarasa manne, saa tatu na dakika arobaini asubuhi hadi tisa na dakika thelathini mchana. Nikakula chamcha, katika jengo la Blackburn. Halafu, nikahudhuria mkutano kwa shirika ambalo linaitwa Jamii ya Kwame Ture. Watu waliongea kuhusu ukombozi. Halafu, nikaenda kula chakula cha jioni na marafiki zangu ambao wanaitwa Justis na Naima. Tukakula chakula cha Kiethiopia, kama nyama ya ng'ombe, marahage, na mgoba. Napenda chakula cha Kiethiopia sana. Tukakunywa divai ya asali, ambayo ilikuwa nzuri sana. Nikarudi nyumbani, na nikalala.

sept. 28
Leo, niliamka saa moja asubuhi. Nilichoka sana, kwa sababu jana nilifanya sana. Nikaoga, nikavaa nguo, lakini nikakosa matatu. Nikahitaji kupanda treni kuenda darasa. Nikaenda madarasa manne. Halafu, nikakula katika jengo la Blackburn. Baadaye, nikaenda kufanya kazi. Nikafanya kazi katika makumbusho. Kulikuwa na watu wengi ambao walihudhuria sherehe hapo. Nikawatoa vileo na chakula. Rafiki yangu ambaye anaitwa Ivy anafanya kazi pia. Baadaye, nikarudi nyumbani, na nikaoga tena kwa sababu kisho nikaenda barabara ya U na marafiki zangu. Tukakunywa na tukacheza densi. Tukawazungumzana watu wengi. Tukakula pia. Nikarudi nyumbani, na nikalala.

oct. 1
Leo, niliamka mapema. Nikafanya kazi ya nyumbani, halafu nikaoga, nikavaa nguo, na nikapika chakula cha asubuhi. Baadaye nikakula, nikapanda matatu. Nikaenda madarasa, na nikakula chamcha katika jengo la Blackburn. Tena, nikahitaji kwenda kazi. Nikapanda treni, kwa sababu kazi ilikuwa katika makumbusho tena. Nikahitaji kutembea sana, nikiwatoa watu chakula na vileo. Napenda kazi hii, kwa sababu ninala chakula ambacho wapishi walipika. Vyakula vilikuwa vitamu sana sana! Nikapiga picha hii kwa sababu napenda maua sana. Nikahitaji kusafisha baadaye sherehe iliisha. Nikachoka sana. Nikapanda treni kwenda nyumbani, na nikalala sana.

oct. 2
Leo, nilijaribu kuwa mwanafunzi mzuri. Nikaamka saa tatu asubuhi. Nikaoga na nikavaa nguo. Nikapika chakula cha asubuhi. Chakula changu kilikuwa kizuri na kitamu sana. Nikala mayai na nyama ya batamzinga. Nikakunywa chai. Halafu, nikafanya kazi ya nyumbani. Nikapanda matatu, na nikaenda darasa la Kiswahili. Nikaenda kula chakula cha mchana katika jengo la Blackburn. Nikarudi nyumbani yangu, na nikafanya kazi ya nyumbani zaidi. Nikasoma kitabu ambacho kinaitwa Beloved. Nikaoga tena, na nikalala.

oct. 14
Leo, nilitembelea familia yangu. Jana, nikapanda ndege kutoka mji wa Washington. D.C. hadi mji wa Raleigh, ambamo jimbo la Carolina Kaskazini. Leo, nikaenda jimbo la Carolina Kusini, na baba mkubwa yangu. Baba mkubwa anaitwa Chris, na pamoja, tukaenda mchezo wa football. Tukatazama mchezo, lakini timu yetu ilipoteza. Baadaye, nikatembelea mama yangu, ambaye alimlea mpwa yangu. Nikafurahi sana kwa sababu sijamona mpwa yangu tangu kabla ya nilitembelea Kenya. Pia, nikatembelea bibi yangu. Nikala uduvi, ambayo inakuwa chakula ninachopenda sana. Baadaye, baba mkubwa yangu aliendesha gari kurudi Carolina Kaskazini. Nikalala ndani gari sana.

oct. 17
Leo, niliamka saa nne asubuhi. Nikaoga, nikavaa nguo, na nikapanda matatu. Nikaenda darasa la Kiswahili. Baadaye, nikamkutana rafiki yangu ambaye anaitwa Naima. Nikamkosa kwa sababu sikuko mji wa Hyattsville wakati wikendi iliopita. Tukazungumza kuhusu safari yangu. Tukanunua vitu vengi kwa Kurudi Nyumbani. Nikanunua gauni na sketi. Pia, tukaenda duka la nywele kwa sababu nikataka kufanya nywele yangu. Baadaye, tukaenda mkahawa. Nikala chipsi na nyama ya ng'ombe. Nikarudi nyumbani yangu, na nikatazama televisheni. Halafu, nikalala.

oct. 20
Leo ilikuwa sherehe la uwanja. Niliamka saa tano asubuhi. Nikaoga na nikafanya makeup yangu. Rafiki yangu, Naima, alikaa na mimi, kwa hivyo yeye alioga na alifanya makeup yake pia. Pamoja, tukaenda duka kwa sababu yeye alihitaji shati mpya. Halafu, tukala chakula cha Jamacian. Tukanunua vileo pia. Tukaanza safari yetu hadi chuo kikuu cha Howard, lakini mvua ilianza kunyesha. Tukapanda treni, lakini tukaloa sana. Tukaacha katika duka la vitabu, kwa hivyo nikanunua koti ya mvua. Tukaenda uwanja, na tukasherehekea na marafiki yangu. Tukatazama tamasha, tukadensi, na tukafurahi. Baadaye, tukarudi nyumbani yangu, na nikalala kidogo. Nikaamka tena, na nikavaa gauni. Tukaenda sherehe nyingine. Nikachoka sana, na tukarudi nyumbani.