My artistic padlet by

Kujitambulisha
Hujambo! Jina langu ni Adrianna, na jina la Kiswahili ni Amina. Mimi ninatoka mji wa Piketon, nchi ya Marekani, jimbo la Ohio; kwa hivyo mimi ni Mmarekani.Mimi ni karani.  Lakini sasa ninakaa mji wa Lucasville. Nilizaliwa tarehe kumi na nne, mwezi wa kumi na moja, mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na saba.  Mimi nina miaka ishirini na tatu. Sikukuu yangu kipenzi ni krismasi.
Ninasema Kiingereza, Kihispania, Lugha ya Isahra ya Marekani na Kiswahili kidogo. Mimi ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Ohio. Mimi ninasoma isimu ya lugha.
Mimi ninapenda kusikiliza musiki, kupiga picha, kupaka rangi, na kucheza karata. Lakini sipendi kukwea mlima.
Mimi ninapenda kula pizza, uyoga, jibini, kuku, viaze vikuu, na isikirimu. Lakini sipendi kula saladi na birinani.
Nambari yangu ya sita nne mbili, tano tano tatu, tisa moja nne siti. Anwani yangu ni Barabara ya Lucasville, apatamenti J, nyumba nambari nne, mji wa Lucasville.

Rafiki Yangu
Rafiki yangu anaitwa Lexie. Yeye anatoka Marekani.  Lexie alisoma katika shule ya Waverly High School. Rafiki yangu ni mhasibu. Yeye anasema Kiingereza na Kihispania kidogo. Lexie anapenda kupiga picha, kuendesha gari, na kutazama televisheni. Lakini hapendi kuendesha gari na kupaka rangii. Yeye alizaliwa tarehe kumi na sita, mwezi wa kwanza, mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na sita.  Lexie ana miaka ishirini na nne. Yeye lakini hapendi kufua nguo. Yeye anapenda kula pasta, keki, brokoli, na mgando. Lakini hapendi kula karoti na bamia. Sikukuu yake kipenzi ni krismasi. Anwani yake ni Barabara ni Main, mji wa Waverly.

Shughuli za Kila Siku
Asubuhi mimi humaka, huoga, na hupiga mswaki.
Mchana mimi hwenda darasani, husoma Kiswahili, na hula chakula cha mchana.
Jioni mimi hutembeza mbwa, hufanya maruido, hula chakula cha jioni, na hufanya kazi ya nyumbani.
Usiku mimi hunawa uso, hupiga mswaki, na hulala.

Juzi niliwenda maktabani saa saba mchana.
Jana nilisoma Swahili saa tatu usiku.
Leo ninaweda kazini saa mbili asubuhi.
Kesho nitawenda dukani saa nne asubuhi.
Kesho kutwa kutapiga simu saa mbili asubuhi.

Familia
.Mama yangu anaitwa Tammy. Yeye alizaliwa tarehe ishirini na mbili, mwezi wa pili, mwaka wa elfu moja mia tisa sabini. Yeye ana miaka hamsini na moja. Yeye anatoka nchi ya Marekani, mji wa Piketon, Jimbo la Ohio. Lakini sasa, anakaa nchi ya Marekani, mji wa Waverly, Jimbo la Ohio. Mama alisoma Chuo kikuu cha Ohio. Mama yangu ni nesi.  Mama anasema Kiingereza. Yeye anapenda kununua na kufuma. Lakini hapendi kucheza karata na kwenda michezoni. Yeye anapenda kula keki, pipi, supu, na yiazi. Yeye lakini hapendi kula mchele, dengu, na nyama na kondoo. Anwani yake ni Barabara Cotton, apatamenti nambari 102, mji wa Waverly.

Baba yangu anaitwa Scott. Yeye alizaliwa tarehe mbili, mwezi wa kumi, mwaka wa elfu moja mia tisa na sitini na tatu.  Yeye ana miaka hamsini na saba.  Yeye anatoka nchi ya Marekani, mji wa Piketon, Jimbo la Ohio. Lakini sasa, anakaa nchi ya Marekani, mji wa Canton, Jimbo la Georgia. Baba alisoma katika shule ya Piketon High School. Baba yangu ni mpishi.  Yeye anasema Kiingereza. Yeye anapenda kuvua samaki, kusikiliza muziki, na kusoma historia. Lakini hapendi kukimbia na kwenda kazini. Yeye anapenda kula jibini, samaka, pilipili hoho, na kimanda. Lakini hapendi kula mayai na choroko. Anwani yake ni Barabara Redearth, nyumba nambari 310, mji wa Canton.

Kaka yangu anaitwa Douglas. Yeye alizaliwa tarehe ishirini na siti, mwezi wa pili, mwaka wa elfu moja mia tisa na tisini na mbili. Yeye ana miaka ishirini na tisa. Yeye anatoka nchi ya Marekani, mji wa Piketon, Jimbo la Ohio. Lakini sasa, anakaa nchi ya Marekani, mji wa Cinncinati, Jimbo la Ohio. Yeye anasema Kiingereza.  Doug alisoma Chuo Kikuu cha Ohio. Kaka yangu ni nesi. Yeye anapenda kucheza karata,  kusafiri, na kutembeza mbwa. Lakini hapendi kutazama televisheni na kwenda maktabani. Yeye anapenda kula stroberi, ndizi, mapapai, matofaa, na tunguja. Lakini hapendi kula zeituni, mabalungi, na matunda ya karakara. Anwani yake ni Barabara Caudill, nyumba nambari 5, mji wa Cinncinati.

Shangazi yangu anaitwa Lola. Yeye alizaliwa tarehe ishirini na tano, mwezi wa saba, mwaka wa elfu moja mia tisa na sitini na tatu. Shangazi ana miaka hamsini na nne. Yeye anatoka nchi ya Marekani, mji wa Piketon, Jimbo la Ohio. Lakini sasa, anakaa nchi ya Marekani, mji wa Lucasville, Jimbo la Ohio. Yeye anasema Kiingereza na Lugha ya Isahara ya Marekani kidogo. Shangazi yangu ni hakimu.  Yeye anapenda kusafiri na kukwea mlima. Lakini hapendi kufuma na kwenda filamuni. Yeye anapenda kula stroberi, ndizi, makuyu, na nazi.  Lakini hapendi kula samaki, peya, na tikiti maji. Anwani yake ni Barabara ya Lucasville, apatamenti J, nyumba nambari nne, mji wa Lucasville.